Chama kikuu cha Ushirika cha Mkoa wa Mara (WAMACU) LTD kama vyama vingine vinavyo jiendesha kibiashara ili kuweza kukidhi mahitaji mbali mbali ya uendeshaji na kukuza chama kwa faida na kuwanufaisha wakulima.
Shirika la ukaguzi na usimamizi wa vyama vya ushirika (COASCO) Tanzania Bara ndio wenye dhamana ya ukaguzi wa kifedha kwa matumizi yenye tija. Ifuatayo ni taarifa huru ya mkaguzi na taarifa za fedha za chama kikuu cha ushirika wa wakulima wa Mara (WAMACU) LTD kwa mwaka uliyoishia terehe 31/03/2022.