ZABUNI NA KAZI

Kwakufuata taratibu na kanuni za nchi katika kutoa fursa kwa makampuni na watu binafsi zabuni na kazi za WAMACU LDT hutangazwa kulingana na mahitaji kwa wakati husika. Nafasi za kazi na zabuni hutangazwa kwanjia mbali mbali kama vile Radio, Magazeti na kubandika tangazo kwenye mbao za matangazo ofisini. Yote haya hufanyika ili kukidhi vigezo na hatua za kuajiri au kutoa tenda/zabuni ili kupata watumishi/kampuni yenye sifa.