WAMACU LTD tunashirikiana na vyombo mbali mbali vya habari katika kupaza sauti ya wanachama na kufikisha ujumbe kwa wanufaika/wakulima. Ushiriki wa vyombo vya habari ni kama vile TBC, Online TV Tarima na kupitia tovuti yetu. Vile vile chama kinatumia mitandao ya kijamii (Social media) katika kueneza taarifa na matukio mbali mbali ya kiutendaji katika chama na AMCOS zake.