Muundo wa Taasisi

Chama cha wakuluma wa Mara Cooperative Union (WAMACU) kimeundwa kwa kufuata Muongozo, Kanuni na Taratibu za vyama vya ushirika chini ya mamlaka ya usimamizi wa vyama vya ushirika. Ufuatao ni muundo na muongozo wa utekelezaji wa chama cha WAMACU.