Finance and Account

Uhasibu na fedha ni moja ya vitengo nyeti katika uendeshaji wa shughuli za WAMACU LTD kwani ushirika unajiendesha kibiashara. Baadhi ya shughuli ni kama zifuatazo

  • Kushiriki katika kuandaa bajeti ya mwaka
  • Kulipa malipo ya gharama mbali mbali za uendeshaji wa shughuli za ushirika
  • Kufanya shughuli za kibenk zinazo husiana na Chama