Dira na Dhima

Dira

Dira ya Chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mara Cooperative Union ni kuwa Chama imara na endelevu na kinachokidhi mahitaji ya kiuchumi na kijamii ya wanachama wake.

 

Dhima/Madhumuni

Dhima kuu ni kuratibu na kuviunganisha vyama vya msingi ambao ni wanachama kwa ajili ya.

  • Kukusanya, kuhifadhi, kusindika na kutafuta masoko ama kuuza mazao hayo kwenye soko lenye tija
  • Kuratibu zoezi la upatikanaji wa mikopo yenye riba nafuu kwa ajili ya maslahi ya wakulima
  • Kuongeza uwezo wa vyama wanachama katika kutoa huduma zenye tija kwa wakulima