Uhasibu na fedha ni moja ya vitengo nyeti katika uendeshaji wa shughuli za WAMACU LTD kwani ushirika unajiendesha kibiashara. Baadhi ya shughuli ni kama zifuatazo
- Kushiriki katika kuandaa bajeti ya mwaka
- Kulipa malipo ya gharama mbali mbali za uendeshaji wa shughuli za ushirika
- Kufanya shughuli za kibenk zinazo husiana na Chama